Posted by : Regan Thapa
Haya ni mawazo yangu tu, mimi ni Chedaa, wadau msiniue! Tangu Mbosso alipoanza safari yake kama msanii wa Bongo Fleva wa kujitegemea, hakuna mwaka ambao jamaa huyu hajasitahili kushinda tuzo ya mwandishi bora. Jamaa anaandika ngoma zenye uzito wa balaa! RELATED: D Voice Ft Mbosso – Tunapendana Nimeona Marioo amechukua tuzo, na sisemi kwamba Marioo […]

from citiMuzik https://ift.tt/DtimpQb

Share this Article :

{ 0 Comment... read them below or Comment }