Posted by : Regan Thapa
Mwanadada Zuchu ameachia rasmi albamu yake mpya PEACE & MONEY usiku wa kuamkia leo, Disemba 20. Albamu hiyo ina jumla ya nyimbo 13, ikiwa na mchanganyiko wa kolabo za wasanii wa ndani na nje ya nchi. RELATED: Marioo – The God Son (TGS) Album Nyimbo hizi zimezalishwa na watayarishaji mbalimbali maarufu nchini, akiwemo Pablo, Trone, […]
from citiMuzik https://ift.tt/7KTUShd
from citiMuzik https://ift.tt/7KTUShd
- Back to Home>
- citiMuzik >
- Albamu Mpya ya Zuchu ‘Peace & Money’ Ni balaa mjini
{ 0 Comment... read them below or Comment }