Posted by : Regan Thapa
Nyota wa Muziki Afrika Simba 🦁 @diamondplatnumz amemtumia salamu za pongezi msanii wake @officialzuchu kwa kufikia mafanikio makubwa ya kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Afrika Mashariki kupata zaidi ya milioni 100 za kutazamwa kwenye video yake bila kushirikisha msanii mwingine yeyote. RELATED: Mzeewa Mjegeje Amefariki Dunia leo Alfajiri “Ukiangalia kwa juu inaonekana kama […]

from citiMuzik https://ift.tt/nK6rpE2

Share this Article :

{ 0 Comment... read them below or Comment }