Posted by : Regan Thapa
Nyota wa Muziki Afrika, Simba 🦁 @diamondplatnumz, ametuma salamu za pongezi kwa msanii wake @officialzuchu kwa kufikia hatua kubwa ya kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Afrika Mashariki kuvuta zaidi ya milioni 100 za kutazamwa kwenye video yake bila kushirikisha msanii mwingine yeyote. RELATED: Mzeewa Mjegeje Amefariki Dunia leo Alfajiri “Ukiangalia kwa juu inaonekana […]

from citiMuzik https://ift.tt/yUW8bYE

Share this Article :

{ 0 Comment... read them below or Comment }