Posted by : Regan Thapa
Staa wa Bongo Fleva, Omary Mwanga maarufu kama Marioo, leo Agosti 29, 2024, amemtambulisha rasmi msanii wake wa kwanza katika Record Label yake ya Bad Nation, anayeitwa Stans. RELATED: Marioo – 2025 (Acoustic) Marioo, ambaye hakuandika maneno mengi kwenye utambulisho huo, amemtaja msanii huyo kwa majina mawili; ‘Young King’ na ‘Fundi Muziki.’ Akizungumza kwa kifupi […]
from citiMuzik https://ift.tt/whl7SYL
from citiMuzik https://ift.tt/whl7SYL
- Back to Home>
- citiMuzik >
- Marioo Amtambulisha Msanii wa Kwanza wa Bad Nation ‘Stans’
{ 0 Comment... read them below or Comment }