Posted by : Regan Thapa
Ni rasmi klabu ya Yanga imethibitisha kuwa itacheza na timu ya Red Arrows ya Zambia, kwenye kilele cha Mwananchi Day kitakachofanyika Jumapili, Agosti 4, mwaka huu. Red Arrows, mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame 2024), watacheza na Yanga ambayo pia imetoka kutwaa ubingwa wa Toyota Cup Afrika […]

from citiMuzik https://ift.tt/gW0qaUy

Share this Article :

{ 0 Comment... read them below or Comment }