Posted by : Regan Thapa
Msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 umepamba moto! Baada ya msimu wa 2023/2024 kumalizika kwa ushindi wa kihistoria wa Yanga SC wakitwaa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo, timu hiyo ya Wanajangwani ilimaliza kileleni mwa msimamo kwa alama 80 kutokana na mechi 30, wakishinda mechi 26, kutoa sare mbili, na kupoteza mbili pekee. […]

from citiMuzik https://ift.tt/HJRSu9D

Share this Article :

{ 0 Comment... read them below or Comment }